|
Watakatifu wa Kifransisko Shirika la Wafransisko limetajirika sana kutokana na msaada wa kiroho utokao mbinguni. Katika karne zilizopita, mabruda na masisita wengi wakiongozwa na roho mtakatifu waliyatoa maisha yao yote kwa Mungu kwa kusaidia maskini,kumwaga damu kwa ajili ya Yesu au kutoa mifano bora zaidi na ya kuigwa katika maisha yao. Haiwezekani kuorodhesha majina yao wote hapa maana ni wengi sana. Wanaosifika sana ni pamoja na Mtakatifu Fransisko wa Assisi, Mtakatifu Klara wa Assisi, Mtakatifu Bonaventura, Mtakatifu Antoni wa padua,Mtakatifu Josefu wa Kupetino,Mbarikiwa Agnesi wa Prague, Mtakatifu margaret wa Kotona, Mtakatifu Feliksi wa Cantalice, Mtakatifu Benadeta wa Siena, Mtakatifu Maksimiliano M. Kolbe. Mtakatifu Luisi IX wa Ufaransa, Mtakatifu Petro wa Alkantara, Mtakatifu Yohane wa kapisitrano, Mtakatifu Elizabeti wa Hangari, Mtakatifu Agnesi wa Assisi, Mtakatifu kinge, Mtakatifu Yohane wa Dukla, Mtakatifu Pio wa Pietrelcina.....
Cophyright ofmconv.Kenya 2005-2008 created by W.Ulman -
Admin Panel - Mail: LogIn
|
|
|||||||
. ![]() |