 |
|
Ndugu Wadogo Wakonventuali ni kikundi cha kitawa cha kimataifa. Hapa Kenya, tuko asilimia dogo ya jumuia kubwa duniani iitwayo shirika la Ndugu Wadogo Wakoniventuali, iliyoanzishwa na Mtakatifu Fransisko wa Assisi huko Italia karne ya kumi na tatu. Mwanzo wa shirika ni mnyenyekevu kama huo na mtakatifu Fransisko wa Assisi ameendelea kuvutia wafuasi waaminifu kutoka pande zote za dunia miaka yote.
|
|